Baraza la mitihani Tanzania ( NECTA) linatarajia kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne (form four) kwa watahiniwa wa shule na wa kujitegemea waliofanya mitihani yao Octoba 2011.
Matokeo hayo yanatarajiwa muda wowote baada ya terehe 15 Jan 2012 na yatapatikana kwenye mtandao katika tovuti ya necta http://necta.go.tz/results.html mara tu baada ya kutangazwa.
**Matokeo ya CSEE mwaka juzi yalitangazwa rasmi tarehe 27 Januari 2011.
Mbona watutia presha!?
ReplyDeleteah wapi..lazima mtokelezee
ReplyDeleteDuh?
ReplyDeletedaaa!! Mbona wanatuti preshaaa.
ReplyDeleteMatokeo this year... Baraza limechemka, kwa Mathematicians, tulidhani matokeo yangewahi kutoka, japokuwa kuwa ni kweli kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kutokana na ongezeko la shule za kata...... Baraza halikuwa na budi ya kuongeza wasahihishaji na waingiza data jamani.. kwa nini muda tuliouzoea unakiukwa?? Baraza la Mitihani acheni uzembe.....!!

ReplyDeletemsiwe na wasiwasi wahitimu. Kwa taarifa nilizopata ni kwamba matokeo yatatoka kesho au keshokutwa.
DeleteToeni matokeo tuwacheke watu mbona mnatuchelewesha utamu.
ReplyDeleteAcha ubwege wee..!! Don't u knw laughing at some is discouragement??stop being childish,give out comments whch are necessary
ReplyDeletebado 2..jamani
ReplyDelete